MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
KwenuHuu ujasiri huwa mnautoa wapi ?
Hivi mpaka leo huu ujinga wa vyeti upo?Wengine wanasema wameondolewa kutokana na kukosa vyeti vya uandishi wa habari kama ilivyo Kwa kipanya,zembwela,kitenge na yeye
Iko siku hata Balile atazuiliwa, hii ni kwa sababu shetani hana rafikiKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Alikusaga ?Nasikia kaondolewa kwa tuhuma za usagaji
Fetty anawajibika kumuandikiavwakiki kipangula katibu wa bodinya ithibati kuulizia hilo suala kama ni kweli wamemzuia inaweza kuwa ni uongo tuKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Aende Chadema MediaKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Muulize Kusaga aliyemuondoaAlikusaga ?
Yaani hakukoseahayajielewi haya majamaa alie yabatiza jina la nyumbu hakukosea
Mbona huwa mnapiga ban watu wasio na mirengo yenu chapu tu...tumehifadhi maumivuKuna siku kuna watu watazuiwa kuandika JF
Amesajiriwa na JAB? Yaani mtu ameshindwa kukizi vigezo leo hii mnakuja kutulilia humu? Hii ni ngumu kuitetea.. kuna watu watafanya makosa kazini alafu waondolewe kazini mtakuja kulialia eti kisa anaikosoa serikaliKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Na sisi ndo serikali yenyewe...Kila mwenye sauti awe makini na mdomo wake
Sisi wote TANZANIA ni wapangaji, Mwenye Nyumba ni Serikali tuwe makini tusimkwaze mwenye nyumba.
Kodi zenyewe tunalipa dusko dusko
Wa kutukana watu hovyo ?Upi?
Wa kutukana watu hovyo ?
Tanganyika ipi ww kwenu Mbeya Tanganyika unaijua ww????JOka kuu liondoke tu lisiendelee kuharibu Tanganyika