Papaah JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,954 Reaction score 4,389 Jul 23, 2025 #81 Uchawa dhambi.
buswagg JF-Expert Member Joined Oct 21, 2023 Posts 1,027 Reaction score 1,870 Jul 24, 2025 #82 chiembe said: Nasikia kaondolewa kwa tuhuma za usagaji Click to expand... Wacha kumchafua, usidhani kila mtu ni msagaji kama huyo kizimkazi wenu.
chiembe said: Nasikia kaondolewa kwa tuhuma za usagaji Click to expand... Wacha kumchafua, usidhani kila mtu ni msagaji kama huyo kizimkazi wenu.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Jul 24, 2025 #83 Comrade Liu Yang said: Kila mwenye sauti awe makini na mdomo wake Sisi wote TANZANIA ni wapangaji, Mwenye Nyumba ni Serikali tuwe makini tusimkwaze mwenye nyumba. Kodi zenyewe tunalipa dusko dusko Click to expand... Mwenye nyumba ni mwananchi na ilitakiwa iwe hivyo. Ila mwananchi amerudi nyuma amekuwa mpangaji
Comrade Liu Yang said: Kila mwenye sauti awe makini na mdomo wake Sisi wote TANZANIA ni wapangaji, Mwenye Nyumba ni Serikali tuwe makini tusimkwaze mwenye nyumba. Kodi zenyewe tunalipa dusko dusko Click to expand... Mwenye nyumba ni mwananchi na ilitakiwa iwe hivyo. Ila mwananchi amerudi nyuma amekuwa mpangaji
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Jul 24, 2025 #84 Hatari sana
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,818 Jul 24, 2025 #85 Lucha said: Wafuasi wa yesu akili mmeshikiwa na mwamposa kusimamishwa kazi na kuja kwa yesu inahusiana nini? Au ajiite Nabii Fetty aje awapige hela kama mwamposa Click to expand... Acha kudemka,jamaa alijua tu nguchiro lazima watoke shimoni,ndio maana mnashikishwa mabomu.
Lucha said: Wafuasi wa yesu akili mmeshikiwa na mwamposa kusimamishwa kazi na kuja kwa yesu inahusiana nini? Au ajiite Nabii Fetty aje awapige hela kama mwamposa Click to expand... Acha kudemka,jamaa alijua tu nguchiro lazima watoke shimoni,ndio maana mnashikishwa mabomu.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Jul 24, 2025 #86 nyongolwe said: Acha kudemka,jamaa alijua tu nguchiro lazima watoke shimoni,ndio maana mnashikishwa mabomu. Click to expand... Ushauri wenu ataufanyia kazi atajiita Nabii Fetty aje awapige pesa wafuasi wa yesu
nyongolwe said: Acha kudemka,jamaa alijua tu nguchiro lazima watoke shimoni,ndio maana mnashikishwa mabomu. Click to expand... Ushauri wenu ataufanyia kazi atajiita Nabii Fetty aje awapige pesa wafuasi wa yesu