Dj Fetty atangaza rasmi kuacha kazi ya Utangazaji


Hapo kwenye ukawa inavyomeguka ndo umenifurahisha sana
 

Mkuu achana na huyu binti kila mtu ana mtusi. hii inasadifu malezi mabovu aliyopatiwa na wazazi wake hivyo wa kulaumiwa ni wazazi siyo yeye.
 
Mwenyewe anasema haendi redio yoyote anaenda kufanya mambo binafsi, tu subir tuone
 

Ulijaa Ktk Frame KINYUMENYUME Na Nikakupa Dozi Yako Ambayo Sasa INAKUPWELEPWETA. Principle Yangu Ni Ile Ile Ya Rais Museveni Isemayo " I Pay You According To Your Price ". Ukija Kishambenga Nakupa Makavu Yako STAHILI Na YALIYOTUKUKA Na Ukija Kistaarabu Na Hasa Ukiwa Ni Mwana CCM Mwenzangu Utafurahi Na Roho Yako.
 
Hakuna pengo lisilozibika

Nani Kaziba Pengo La Nyerere Wetu Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Mchezeshaji Na Mpambanaji Patrick Mutesa Tabu Mafisango Ktk Klabu Yangu Ya Simba? Nani Kaziba Pengo La Steven Kanumba Ktk Tasnia Ya Uigizaji Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Marijani Rajabu Ktk Tasnia Ya Muziki Nchini Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Maestro Wa Timu Ya Taifa Ya Cameroon Marc Vivie Foe? Nani Kaziba Pengo Kubwa Na Lililoachwa Wazi Na MAFISADI WAKUBWA WALIOKUWA CCM Akina Lowassa Na Sumaye? Nani Leo Kaziba Pengo La Aliyekuwa Mbabe Wa Vijana Enzi Hizo Mwanafunzi Wa Shule Ya Tambaza Omary Puzzo? Nani Kaziba Pengo La Yule Askari Polisi Aliyekuwa MCHAPAKAZI Hapa Jijini Dar es Salaam Mkama Sharp? Kwa Leo References Hizi Tu Chache Zinakutosha Mkuu.
 
Kwakuwa hii redio masihara meeengi na hawanaga ishu serious nmeskia kwenye gari wanazungumza nae wanamuaga hata sikuwaelewa kwa sababu hawajawahi kuwa serious..... ndo nmeelewa humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…