Dj Fetty atangaza rasmi kuacha kazi ya Utangazaji

Councillor Salaah, boss wake mwanaFa mmiliki wa Silent Ocean wasafirishaji wakubwa wa mizigi toka China Kuja TZ..》》》》》SwaliJingine?

Mhuuhh!! Ok! Nikajua haliwi, amekaa ki 'tomboy'.
 
Anaenda kuolewa mke wa pili na saleh yule wa home shopping centre,yule wa china

Hata sio mke wa pili, salehe ana vimada kibao dunia nzima,anaweza akawa hata mke wa 10 maana wengine pia watakuwa wameolewa kisirisiri wakaambiwa ni wake wa pili....
 
Sijawahi kumkubali huyu dada hata siku moja panoja na redio yao hiyo.....

Milard Ayo akiondoka kipindi chake atapewa Fredwaa...

Wee lazima utakua msukuma...nawajua wasukuma kwa kupenda vitu vya kizee zee
 
ktk soko huria kubadili kazi ni jambo la kawaida sana, wafanyakaz wa umma tu ndio wanashangaa mamabo ya mtu kuhama kazi ila awe makini sana wasije ondoka kwa mbwembwe wakaishia kama kina maulid kitenge kaondoka yey ndo kapotea masikion mwa watu
 
ktk soko huria kubadili kazi ni jambo la kawaida sana, wafanyakaz wa umma tu ndio wanashangaa mamabo ya mtu kuhama kazi ila awe makini sana wasije ondoka kwa mbwembwe wakaishia kama kina maulid kitenge kaondoka yey ndo kapotea masikion mwa watu

Maulid Baraka wa kitenge sijamsikia mda mrefu si yuko RadioOne now?
 
watangazaji nao n kama wacheza mpira ,kila kukicha n transfer ili mladi dau likifika.
 
Dj Fetty kwa habari nilizodokezwa kutoka ndani ya Uhai media! Azam wamefikia dau atakuwa ndani ya studio za radio za azam media!! radio itakayo kuwa hewan mda si mrefu!

Ayo mtu wa watu nae yupo mbioni kutimka! so stay tune
aibu yako
 
Itakuwa MAPEDESHEE washaafika BEI...Mtoto mzuri kama huyo ni wa kuwekwa ndani na kupata HUDUMA bila jasho....

Mungu amsimamie katika majukumu yake mapya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…