Dj Fetty atangaza rasmi kuacha kazi ya Utangazaji

Mwanzo mzuri dj fetty ingawa sikuwahi kukuona kwenye turn table sijui ilo jina la dj limetokea wapi

Kweli mkuu? Basi mwangalie hapa akifanya yake;

Na FYI alishawahi kuitwa Ku-DJ kwenye shindano la Big Brother Afrika!
 
Last edited by a moderator:
Dj Fetty kwa habari nilizodokezwa kutoka ndani ya Uhai media! Azam wamefikia dau atakuwa ndani ya studio za radio za azam media!! radio itakayo kuwa hewan mda si mrefu!

Ayo mtu wa watu nae yupo mbioni kutimka! so stay tune
 
Nani Kaziba Pengo La Nyerere Wetu Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Mchezeshaji Na Mpambanaji Patrick Mutesa Tabu Mafisango Ktk Klabu Yangu Ya Simba? Nani Kaziba Pengo La Steven Kanumba Ktk Tasnia Ya Uigizaji Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Marijani Rajabu Ktk Tasnia Ya Muziki Nchini Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Maestro Wa Timu Ya Taifa Ya Cameroon Marc Vivie Foe? Nani Kaziba Pengo Kubwa Na Lililoachwa Wazi Na MAFISADI WAKUBWA WALIOKUWA CCM Akina Lowassa Na Sumaye? Nani Leo Kaziba Pengo La Aliyekuwa Mbabe Wa Vijana Enzi Hizo Mwanafunzi Wa Shule Ya Tambaza Omary Puzzo? Nani Kaziba Pengo La Yule Askari Polisi Aliyekuwa MCHAPAKAZI Hapa Jijini Dar es Salaam Mkama Sharp? Kwa Leo References Hizi Tu Chache Zinakutosha Mkuu.

...uuh; speechless!!
 
Mawazo masikini ya kiafrica.

Poor mind.
 
Mkuu umenikunbusha Mkama sharp loohh hv yupo wapi huyu askari, mara ya mwisho 2002 nilimuona pale ostabay polisi
 
Kilichomuondoa ni kukataa kwake kuipigia campaign ccm na magufuli wake kwenye mitandao ya kijamiii...Kila la kheri Fetty ..hope tutakupata Efm or Azam Radio...# Ruge clouds sio ya mama ako
 
Dj Fetty kwa habari nilizodokezwa kutoka ndani ya Uhai media! Azam wamefikia dau atakuwa ndani ya studio za radio za azam media!! radio itakayo kuwa hewan mda si mrefu!

Ayo mtu wa watu nae yupo mbioni kutimka! so stay tune

weeeee Ayo akiondoka hawezi kujiunga azam anaogopa kusemwa...na ataondoka baada ya kukamilisha redio yake
mwenyewe
 
Nani Kaziba Pengo La Nyerere Wetu Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Mchezeshaji Na Mpambanaji Patrick Mutesa Tabu Mafisango Ktk Klabu Yangu Ya Simba? Nani Kaziba Pengo La Steven Kanumba Ktk Tasnia Ya Uigizaji Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Marijani Rajabu Ktk Tasnia Ya Muziki Nchini Tanzania? Nani Kaziba Pengo La Kiungo Maestro Wa Timu Ya Taifa Ya Cameroon Marc Vivie Foe? Nani Kaziba Pengo Kubwa Na Lililoachwa Wazi Na MAFISADI WAKUBWA WALIOKUWA CCM Akina Lowassa Na Sumaye? Nani Leo Kaziba Pengo La Aliyekuwa Mbabe Wa Vijana Enzi Hizo Mwanafunzi Wa Shule Ya Tambaza Omary Puzzo? Nani Kaziba Pengo La Yule Askari Polisi Aliyekuwa MCHAPAKAZI Hapa Jijini Dar es Salaam Mkama Sharp? Kwa Leo References Hizi Tu Chache Zinakutosha Mkuu.
Nani Kaziba Pengo La Tupac Shakur??[emoji144] ??
 
Back
Top Bottom