DJ Fetty na Vogue!

DJ Fetty na Vogue!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Nimekua nikiwasikiliza mchomvu muda mrefu akimwambia fetty kwamba vogue lake kalitoa wapi? Je ni kweli Huyu Fatma Hassan(DJ Fetty) anatembelea vogue?
 
nimesikia kuna jamaa anatoka nae ndo mwenye vogue
 
haa! Ile Rav 4 ya miliango 3 imekua Vogue? Naona imekua.
 
Muda c mrefu nilikuwa nae hapa barbershop,ni kweli yakwake
 
Jamani alokua nacho hasemi,kama anacho tutakiona bila ya yeye kupiga upatu,sijui kwanini watu wakipata mtu mwenye gari mara ishakua yao nakujitangazia sijui ndio wale waliozowea kupanda daladala sasa wakipata gari lazima wote wajue...
 
totoz siku zote ni sehemu ya uwekezaji.kapewa vogue katoa................................!:bolt:
 
wekeni picha tuwape bei...hata kama ya kuhongwa...
 
Back
Top Bottom