fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,221
haa! Ile Rav 4 ya miliango 3 imekua Vogue? Naona imekua.
hehehe,duh watu mnayo maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa! Ile Rav 4 ya miliango 3 imekua Vogue? Naona imekua.
gari lina raha yake bana, upewe, uhongwe, ununue mwenyewe, uibe, urithi kwa dingi bada ya kufa gari gari,mi nina ka starlet lakini mji mzima unanitambua,chezea gari wewe,

Money can not buy Happyness but it's more comfortable to cry in a VOGUE than a RAV 4
usicheze na mtoto wa kike! alipewa hazina kubwa sanaaaaaa!