DJ Fetty wa Clouds atwagana ngumi live club

DJ Fetty wa Clouds atwagana ngumi live club

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
djfetty-2.jpg


MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’, juzikati alijikuta akitwangana makonde na mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli kwenye ukumbi mmoja wa starehe pande za Kahama, Shinyanga.
Katika tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye ‘tour’ ya Serengeti Fiesta alizama ukumbini hapo usiku na baada ya muda mfupi paparazi wetu alishangaa kumuona akizichapa na mrembo huyo ikidaiwa walizinguana, hata hivyo waliamuliwa kabla mambo hayajawa mabaya

Chanzo: GlobalPublishers
 
djfetty-2.jpg


MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan DJ Fetty, juzikati alijikuta akitwangana makonde na mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli kwenye ukumbi mmoja wa starehe pande za Kahama, Shinyanga.
Katika tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye tour ya Serengeti Fiesta alizama ukumbini hapo usiku na baada ya muda mfupi paparazi wetu alishangaa kumuona akizichapa na mrembo huyo ikidaiwa walizinguana, hata hivyo waliamuliwa kabla mambo hayajawa mabaya[/QUOTE

dogo hasheem kamkuza vibaya kumbe hata kwenye masumbwi.
 
fatma hassan nampenda sana huyu dada
nimesoma na mdogo wake halima
wana hasira sana hawa
 
namkubali sana fetty ana busara na anajitambua huyo ----- ndio atakua amemchokoza
 
Kumbe Hasheem nae alimkaa? Duh!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mjasiri haachi asili, chezea msomali weyee sasa ukiongezea na bangi ndiyo kabisa.
 
Back
Top Bottom