DJ Fetty wa Clouds atwagana ngumi live club

DJ Fetty wa Clouds atwagana ngumi live club

A. Nusu ya pesa hizo ilipitishwa kwenye bajeti ya serikali. Hata hivyo wakati bajeti ishapita JK akasema anaongeza kiasi kingine kama hicho kwani ameona mahitaji ni makubwa. Wengine wakauliza hiyo nyongeza itatoka bajeti ipi? Mpaka leo kimya. Labda ndiyo hiyo ya Boston!

B. Mtu yeyote anastahili ili mradi atimize yatakayokubaliwa benki. Walengwa ni wajasiriamali wadogo wadogo. Inaweza ikawa kikundi (SACCOS) pia, ambayo nayo itaenda kukopesha wanachama wake. CRDB imejikita kukopesha SACCOS, wakati NMB inalenga watu binafsi.

C. Mchanganuo wako ndiyo utahalalisha kupata pesa hizo. Inatarajiwa kuwa mkopo huo ni wa kuendeleza biashara/mradi badala ya kuwa start up capital.

D. Mchanganuo unapaswa uoneshe mafanikio yatakavyopimwa. Benki pia ndiyo wajuzi na wana vigezo vya kupima mafanikio.

E. Huo ni mkopo unaopaswa urudishwe ili wengine wakope pia (revolving fund)

ANGALIZO: Kugongana? JK kaanza kumshtukia EL kuwa anataka kumtumbukiza?

Unaweza kumhoji Chiligati ukipenda.

Inakuhusu?
 
Tatizo la fatty bangi zinamuharibu..huwez mwanamke ukavuta bangi pamoja na wakina mchomvu afu upstair ukawa sawa...ndo maana mpaka Leo hana mchumba Kisa bangi.. Bwana wake aliemuhonga gari mwaka juzi now kamshit fety.. Fety bangi zinamuharibu sana... Eti siku Moja anaulizwa na mchomvu... Eti mungu unaomba akupe nini maisha yako., fety akajibu naomba Mungu anipe matak...o--- makubwa
 
12 alisha piga hapa mpaka basi... na bado na jipigia kila tour wanayo enda.
 
Huyu kweli,hana asili ya somalia??? Nasikia hao jamaa wana hasila sana
 
Tatizo la fatty bangizinamuharibu..huwez mwanamke ukavuta bangi pamoja na wakina mchomvu afu upstair ukawa sawa...ndo maana mpaka Leo hana mchumba Kisa bangi.. Bwana wake aliemuhonga gari mwaka juzi now kamshit fety.. Fety bangi zinamuharibu sana... Eti siku Moja anaulizwa na mchomvu... Eti mungu unaomba akupe nini maisha yako., fety akajibu naomba Mungu anipe matak...o--- makubwa

We mjamaaa umenichekesha sana
 
Huyu ndio maana waanume tmk walimpiga mtungo coco..
 
Back
Top Bottom