MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan DJ Fetty, juzikati alijikuta akitwangana makonde na mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli kwenye ukumbi mmoja wa starehe pande za Kahama, Shinyanga.
Katika tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye tour ya Serengeti Fiesta alizama ukumbini hapo usiku na baada ya muda mfupi paparazi wetu alishangaa kumuona akizichapa na mrembo huyo ikidaiwa walizinguana, hata hivyo waliamuliwa kabla mambo hayajawa mabaya[/QUOTE
dogo hasheem kamkuza vibaya kumbe hata kwenye masumbwi.