knowledge reign supremacy over nearly every one (KRS ONE)kipindi 'pendwa'?..my foot
knowledge reign supremacy over nearly every one (KRS ONE)
Dear Ones,
Nisaidien kitu kimoja.......Clouds Fm iliwafanya nini wanaJF?....
Mi ni msikilizaji wa RADIO kama wengine and i find their station very entertaining.....and i bet most of people do....Soooooo guys.....Nipeni STRONG REASON ya ku-play HATER kwa CLOUDS FM na presenters wake...
XoXo
Ntakasi Wa Nkasi!!!
Leo kwenye kipindi 'pendwa' cha mchana XXL(Clouds Fm) walikuwa wanazungumzia uwekaji wa malengo na ufanikishaji wake katika mwaka 2013 na umuhimu wake.....baada ya kuhoji watu mbalimbali ikiwemo wenyewe watangazaji ndipo mtangazaji huyu maarufu alipofunguka na kusema yeye alipanga kuolewa na kupata mtoto ndani ya huu mwaka lakini anaona kama lengo lake halijafanikiwa.....Hakusema kama ana mchumba au anatafuta but hili ndio lengo lake kubwa ambalo kwa sasa inabidi angojee mpaka 2014::::::
Namtakia kila la kheri Fetty The Best Na Inshaalah Mungu Atatimiza Lengo Lake!

Haaahaaaa......people who think are superior than others in terms of WEALTH or EDUCATION are totally inferior....Dear,you are not well.......what a pity!
GET WELL SOON!
DJ fetty katulia sana ukiwekeza utakua unakula mwenyewe Lakini mwambieni apunguze masuruali na usela
Kuna fiesta moja kalitwangana ngumi nyuma ya stage.......sasa nahisi kana ubabe fulani hivi...ukijumlisha na andasi za gomba...mabraza men lazima wakae rada.
Kuna sehemu inaitwa Garisa, ipo kenya...aende akae kwa miezi kadhaa.....nakuhakikishia ndoto yake itakuwa true in no time.
Afuate ushauri wangu......akifika Garisa b twelve aandae tu tenity za kutosha.
kipindi 'pendwa'?..my foot
ivi hujui kwamba XXL ndio show ya mchana inayosikilizwa zaidi hapa Tanzania?
unaumwa wewe,badala ujibu maswali yangu unaleta taarab,au hukuelewa nilichoandika,well,save your breath you are not on my level.
ivi hujui kwamba XXL ndio show ya mchana inayosikilizwa zaidi hapa Tanzania?