Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ugomvi wao wenyewe...wasikilizajii unatuhusu nn??mi naipenda sana tu ...na nampenda jide....hata sifinyi macho.....no unafki!
kipindi 'pendwa'?..my foot
labda utuambie research uliifanya lini
resaerch methodology uliyotumia
the whole population or a sample?if a sample,which sampling technique?
ukijibu hayo maswali uje kuongea na mimi na sio ku-generalize mambo.
Safi sana, ila tutafutie na picha nyingine inayoonyesha section B ili tukamilishe usaili!! samahani kwa usumbufu
ha ha ha ha! Yap si unajua hata kwenye paper section B ndo yenye alama nyingi?Bila shaka unataka uangalie makalio kama ni ya kihindi au ya kimanyema?
Bila shaka unataka uangalie makalio kama ni ya kihindi au ya kimanyema?