DJ JOH wa 93.1 Marekani acheza Ngoma za Diamond!

DJ JOH wa 93.1 Marekani acheza Ngoma za Diamond!

wako katika juhudi za ubomozi wa bongo fleva[emoji23]
haters watabaki kuwa haters
 
ukiangalia kwa makini style ya kupiga bao ya diamond ni kama ya shigongo tu.
(usichafue fikra yako ghafla Tafadhali)
 
Nilikuwa Florida just mwezi uliopita kwa miezi 3. Niliishi huko miaka ya nyuma pia. Ninabisha na niko tayari kubishana na Millard Ayo juu ya hili. It's NOT true, hakuna redio kubwa Marekani inayopiga nyimbo za Bongo, msiwe wajinga kihivyo. Kuna madj wa Tanzania wanaopiga nyimbo za Tanzania kwenye redio za mitandao na zinawalenga wabongo tu. Nani Zaidi ya East Africans anaongea Kiswahili Marekani? Waanfrika wenyewe waishio Marekani hawapigi nyimbo za watanzania kwenye redio zao za community.
Bro,si bure unakipaji cha kubishana. Yaani li nchi lenye majimbo zaidi ya 50 na Radio stations zaidi ya 15,330 kisha unabishia nyimbo za aina fulani hazipigwi si bure tukakupime.Hebu angalia hii idadi ya radio stations kisha niambie kwa huo muda ulioishi huko hukua na kazi nyingine zaidi y kusikiliza redioni kama wanapiga nyimbo za kibongo au hawapigi.....There Are 15,330 U.S. Radio Stations, But How Many Matter?
 
Tatizo hupendi kuelewa. Nimesema toka awali, Marekani wamekaa kibiashara Zaidi and I know by FACT kwamba hizi main stream radios hazipigi muziki wa nchi za watu wasio imba in English unless hiyo radio station ni Community Radio. Umeshanipata mpaka hapo? Community radios ni zile zenye vipindi vya jumuiya Fulani kwa muda Fulani kwa wiki ili kufikisha ujumbe kwa raia wake. Naomba unipe anuani ya hiyo radio station kama hujaona ni ya kishikaji tu.
 
Ungejibu swali langu,nami ningeifanya kazi yako. Swali lenyewe ni " Je, kwa idadi hiyo ya radio station umeshawahi kuzisikiliza zote ..........."
 
Ungejibu swali langu,nami ningeifanya kazi yako. Swali lenyewe ni " Je, kwa idadi hiyo ya radio station umeshawahi kuzisikiliza zote ..........."

Sijawahi kusikiliza hizo zote lakini ninajuwa fika kuwa hizo redio zipigazo nyimbo za fleva si za main stream because I have lived in USA and I know how the business works. Nipe anuani ya hiyo radio.
 
Sijawahi kusikiliza hizo zote lakini ninajuwa fika kuwa hizo redio zipigazo nyimbo za fleva si za main stream because I have lived in USA and I know how the business works. Nipe anuani ya hiyo radio.
Basi,jibu limeshapatikana.Hizo zingine ni mbwembwe tu.
 
Hivi yule msanii wa Sony nyimbo sake hua zinasikika wapi nje yanchi
Kwanza sijui kama kuna DJ anamjua
 
Marekani nyimbo za Tanzania zinapigwa ila katika party za watanzania. Huwezi kwenda kwenye party za Nigerians ukasikia wimbo wa Tanzania hiyo ni bahati tu. Huyu jamaa anapiga hizo nyimbo ni kwa sababu ni mbongo tena anapiga kwa kuibia. Tusidanganyane, Marekani kupiga wimbo wa Kiswahili redioni unamwimbia nani? Wale kule wamekaa kibiashara zaidi si kihasara. Labda hiyo iwe redio ya community kwani wao huwa wana vipindi kadhaa kwa wiki (kila jumamosi au jumapili) kwa lisaa au masaa kadhaa hizo redio (za community events) hupiga nyimbo za nje na hazina sifa kihivyo. Tuache kudanganyana jamani. Watanzania wanaoishi Marekani can attest to this.
Wenzio walioko huko wanasema huwa zinapigwa sasa wew unakaa marekan ipi au jirani yake mange timu migombani LA
 
Mbona Dj hajamgusia mzee wa kariakoo? Watu wanatoa povu kisa Mondi yupo juu. Muziki wa babu ni maarufu kwa kina manyang'au tu.
 
Naomba unifafanulie haya mkuu:
1.Diamond anatoka nchi gani?
2. Aliyecheza nyimbo ya Diamond anatoka nchi gani?
3. Kilichomfanya afichafiche uraia wake hadi alipojulikana ni nini haswa?
4. WHY NOW?

NB. Wapo wasanii nyimbo zao zishawahi kuorodheshwa kwenye chati za nchi za majuu.
Mfano. Wyre wa Kenya anapeta sana Jamaica!
 
Mbona huwa zinapigwa japo sio sana nishasikia za diamond,wizkid ,psquare,davido mafikizoro etc mdogo mdogo tutafika
Hizo nyimbo kapiga na wapopo ndo zinapigwa, kiujumla dogo playlist nyingi za wapopo nae yumo. Nadhani wengi wanadhania nae ni mpopo kwa kuiga saana theme ya kipopo kwenye mziki yake.
 
Haahaa nilijua ni DJ kayslay,Whookid,Envy,Khalid,Angie Martinez ndio kapiga kumbe ni DJ Joh kutoka Tanzania hahaha I luv it you know.
 
Back
Top Bottom