DJ JOH wa 93.1 Marekani acheza Ngoma za Diamond!

Ngomanza dai mbona ata huku Pluto zinagongwa sana kuna DJ alitoka uko duniani alikuja na collection kibao ya ngoma za dai..!!
katika kila watanzania wanne.............
 
Sijawahi kusikiliza hizo zote lakini ninajuwa fika kuwa hizo redio zipigazo nyimbo za fleva si za main stream because I have lived in USA and I know how the business works. Nipe anuani ya hiyo radio.
Kuna raia wanajiona kama ndiyo wao tu ndiyo walio wahi kukaa Marekani! tofauti na huyo dj wa Tanzania ni station gani nyingine ya radio inayo piga nyimbo za africa/hasa lugha ya kiswahili yaani ni hamna! Marekani kuna ma under graund kibao na wana nyimbo kali wanatamani zipewe airtime lakini hazipewi, sembuse hizi za kiafrica!!

Huyo dj lazma atakuwa ni kati ya wale watanzania wa 4!
 
mbona hats VOA " voice of America " huwa wanazipiga
 


Ndiyo ujinga wa wabongo wanapenda sana kudanganyana na kupeana ujiko usio na akili, ukiongea ukweli ama kuwakosea wanakutukana kwa sababu wanataka uhalalishe uwongo wao na kuwa ukweli. Wabongo bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…