DJ John Dillinga Matlou aonyesha utajiri wake

DJ John Dillinga Matlou aonyesha utajiri wake

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari Wanabodi,

DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani ya 500milioni Tsh ukiwa umejengwa kwenye eneo la sqm 2000(50m x 40m).

Mbali na Mjengo huo wa hatari,JD anamiliki magari manne ikiwepo sports car yake ya zambarau inayoonekana kwa mbali kwenye picha pamoja na kampuni ya JD's Entertainment.

DJ JD HOUSE.jpg
DJ JD FB.jpg
 
Ni yake kweli?maana Hawa jamaa kwa maigizo hawajambo!...lakini Kama yake pongezi kwake...
 
Kwenye fan uyu jamaa kitambo na kafanya makubwa,usishangae kumiliki ivo vitu
 
DJ John Dilinga Matlou akielezea hiyo picha ya FB akifanya usafi(Kipindi Cha Music Boulevard leo).
 

Attachments

Ukweli picha niliyokuwa naitegemea c hii nineona peving na car packing na ukuta
 
Ni yake na mke wake yule mtoto wa Martin lumbanga
Aache kujishebedua mwenye mali ni mke wake ingekuwa vizuri angeonyesha hizo mali akiwa na mkewe,hata Gardner alikuwa anatamba hivyo hivyo,kumbe ni mario tu
 
Nimesema nyumba sioni, kwani ukuta ndio nyumba???

Ni Mjengo wa hatari mkuu,Piga picha gharama za fensi,Gharama za Perving Blocks then pata picha ya mjengo,ebu angalia hizo nguzo za nyumba hizo nyeupe halafu ijengee picha aina ya mjengo.
 
Aache kujishebedua mwenye mali ni mke wake ingekuwa vizuri angeonyesha hizo mali akiwa na mkewe,hata Gardner alikuwa anatamba hivyo hivyo,kumbe ni mario tu

Watanzania isifikie mahali dhiki zenu zikawafanya mkawa kama mmedata kila anaefanikiwa kumtolea kijicho. Hivi kwa biashara za John anashindwaje kuwa na nyumba nzuri? Unajua ata JDs entertainment imepiga deal ngapi za pesa ndefu hapa mjini? Unajua bizness zake nyingine apart frm music?

Acheni hizi roho la sivyo mtakuwa maskini mpk uzeeni, mkikalia kujifariji kwa kuwasema wengine vibaya.
 
Back
Top Bottom