Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Habari Wanabodi,
DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani ya 500milioni Tsh ukiwa umejengwa kwenye eneo la sqm 2000(50m x 40m).
Mbali na Mjengo huo wa hatari,JD anamiliki magari manne ikiwepo sports car yake ya zambarau inayoonekana kwa mbali kwenye picha pamoja na kampuni ya JD's Entertainment.