Ni yake kweli?maana Hawa jamaa kwa maigizo hawajambo!...lakini Kama yake pongezi kwake...
Ni yake na mke wake yule mtoto wa Martin lumbanga
Utakuwa na matatizo ya macho mkuu,fensi unaona? Ukuta? magari?
Huyu jamaa anakaa mbweni bana! acheni fiksi.
Nimesema nyumba sioni, kwani ukuta ndio nyumba???
Aache kujishebedua mwenye mali ni mke wake ingekuwa vizuri angeonyesha hizo mali akiwa na mkewe,hata Gardner alikuwa anatamba hivyo hivyo,kumbe ni mario tuNi yake na mke wake yule mtoto wa Martin lumbanga
Nimesema nyumba sioni, kwani ukuta ndio nyumba???
Aache kujishebedua mwenye mali ni mke wake ingekuwa vizuri angeonyesha hizo mali akiwa na mkewe,hata Gardner alikuwa anatamba hivyo hivyo,kumbe ni mario tu