Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khee ali kiba ndo BABU WA KARIAKOO???Kama Diamond haina shida ni superstar ingekua yule babu wa k/koo ningeshangaa
NaweweWabongo bwana ila mi sio mbongo sema naishi nanyi
Mshikaji mmoja muuza mitumba pale tandika sokoniKwani huyo Khaled ndio nani?
Ohooooo!!!Yesu alikua na followers 12 tu ,,sasa nyie oneni followers ni ufahari
Mange kamfollowKama Diamond haina shida ni superstar ingekua yule babu wa k/koo ningeshangaa
Nyie watu wa darisalama ...tiambieni huyo djhalidi ndiyo nani??? Au ni miongoni mwa watu wasiyo julikana???? Anamufolowu kuelekea wapi?? Na yeye anatumia nisani patoroo nyeupe kumufolowu diamondi?? Watanzania tumuliende diamondi wetu asije kupotezwa na hawa watu ,akiwemo dj halidi.Diamondplatnumz nyota yake inzidi kung'aa baada ya DJ KHALED kumfollow katika Account yake ya Instagram! Hii inamaanisha DJ khaled anamfahamu Diamond na anapenda kile ambacho anafanya
Kwa nchi za wenzetuu mtu au star akikufollow ni kitu kikubwaa sanaa tofauti na Hapa Bongo mtu anamfollow yeyote bila kujua anatafuta nn kwa huyo mtu! Katika watu elfu 3 duniani alio wafollow DJ khaled na Diamond naye yupo? Means hata akimtumia Ujumbe Insta Direct ataupata na kujibu! Sasa ni wakati wa Diamond kutumia Hii nafasii!View attachment 592801View attachment 592802
Kumbe Dj Khaleed ni msanii mkubwa,nilidhani na yeye ni kama Dj Choka,anawakusanya wasanii weeengi waimbe alafu wimbo unakua wake[emoji16][emoji16][emoji16]Ukitaka kujua maana ya kuwa followed na global figure muulizeni Davido aliyekuwa analilia kuwa followed na C7!
Kwa mtu kama Diamond au yeyote wa aina yake kuwa followed na mtu kama JD Khaled sio jambo dogo kisanaa!!!
Ina maana leo hii Diamond akiachia ngoma na ku-post Instagram, basi kuna uwezekano mkubwa DJ Khaled akafahamu kuna new release!!! Akipoteza dakika zake 2 na kusikiliza; sio jambo dogo hilo hata kidogo!!!
Endapo Drake asingepata fursa ya kusikiliza ngoma ya WizKid, huyu WizKid asingekuwa pale alipo leo hii kwa sababu hakuna cha ziada kilichoongezeka kwenye uimbaji wake zaidi ya kuwa tu ameongeza exposure!
Sasa Diamond nae amepata possible option ya kazi zake siku moja kusikilizwa na msanii mkubwa! Siku mkisikia DJ Khaled anataka collabo na Diamond msiseme sikusema!!!
Habari njema hii.Diamondplatnumz nyota yake inzidi kung'aa baada ya DJ KHALED kumfollow katika Account yake ya Instagram! Hii inamaanisha DJ khaled anamfahamu Diamond na anapenda kile ambacho anafanya
Kwa nchi za wenzetuu mtu au star akikufollow ni kitu kikubwaa sanaa tofauti na Hapa Bongo mtu anamfollow yeyote bila kujua anatafuta nn kwa huyo mtu! Katika watu elfu 3 duniani alio wafollow DJ khaled na Diamond naye yupo? Means hata akimtumia Ujumbe Insta Direct ataupata na kujibu! Sasa ni wakati wa Diamond kutumia Hii nafasii!View attachment 592801View attachment 592802
Hivi DJ Khaleed na Neyo yupi ni msanii mkubwa?Ukitaka kujua maana ya kuwa followed na global figure muulizeni Davido aliyekuwa analilia kuwa followed na C7!
Kwa mtu kama Diamond au yeyote wa aina yake kuwa followed na mtu kama JD Khaled sio jambo dogo kisanaa!!!
Ina maana leo hii Diamond akiachia ngoma na ku-post Instagram, basi kuna uwezekano mkubwa DJ Khaled akafahamu kuna new release!!! Akipoteza dakika zake 2 na kusikiliza; sio jambo dogo hilo hata kidogo!!!
Endapo Drake asingepata fursa ya kusikiliza ngoma ya WizKid, huyu WizKid asingekuwa pale alipo leo hii kwa sababu hakuna cha ziada kilichoongezeka kwenye uimbaji wake zaidi ya kuwa tu ameongeza exposure!
Sasa Diamond nae amepata possible option ya kazi zake siku moja kusikilizwa na msanii mkubwa! Siku mkisikia DJ Khaled anataka collabo na Diamond msiseme sikusema!!!
Mkuu kwani lwakatale, Gwajima, Na Mzee Wa bapa sio Jesus followersYesu alikua na followers 12 tu ,,sasa nyie oneni followers ni ufahari
Umekula maharage ya wapi bossMkuu kwani lwakatale, Gwajima, Na Mzee Wa bapa sio Jesus followers
Nadhani unataka kuuliza mbona huyo Diamond keshafanya collabo na Diamond na hakuna jipya au hakufikia hata 10% ya pale alipofika WizKid!Hivi DJ Khaleed na Neyo yupi ni msanii mkubwa?
Kama unadhani DJ Choka asiye na ubavu wa kuwakusanya hata akina Rayvann na Baraka De Prince ni sawa na DJ Khaled aliyeweza kukusanya wasanii mbalimali basi una kila sababu ya kutoona umuhimu wake!!!Kumbe Dj Khaleed ni msanii mkubwa,nilidhani na yeye ni kama Dj Choka,anawakusanya wasanii weeengi waimbe alafu wimbo unakua wake[emoji16][emoji16][emoji16]