DJ Khaled amemfollow Diamond instagram!

Kwahiyo Diamond anasubiri apewe Collabo na DJ Khaleed ndio afahamike US?

Kama Wizkid anacheza nao kila siku huko LA na hapewi Collabo zaidi ya yeye kuwaomba wao ndio ije kuwa mtu aliyekufollow tu kwenye mtandao?
 
Kwahiyo Diamond anasubiri apewe Collabo na DJ Khaleed ndio afahamike US?

Kama Wizkid anacheza nao kila siku huko LA na hapewi Collabo zaidi ya yeye kuwaomba wao ndio ije kuwa mtu aliyekufollow tu kwenye mtandao?
Wapi nimesema anasubiri collabo ndo afahamike?!

Nimekuambia msanii local unapopata possibility ya kazi zake kusikilizwa pia unaongeza nafasi ya kushirikishwa! Hata huyo WizKid, hivi unaweza kueleza hapa huko kucheza nao kila siku unakosema wewe kumekuja vipi? WizKid ameaanza lini kwenda L.A na huko kucheza nao kila siku unakosema wewe kumeanza lini na kulianzaje anzaje?

One Dance ambayo ili-hit kwenye nchi kama US, UK na Canada ni ya nani ft nani? Na hiyo ft ilianza anza vipi?

Kwenye muziki huhitaji kushirikishwa/kutoa nyimbo 100 ili uwe hot! Just once/one kama ambavyo WizKid alishirikishwa One Dance na Drake na hatimae kuwa hot worldwide! Si kwamba wasanii wetu hawajui kabisa but exposure ndio tatizo!

Ni ngumu kidogo kwa mfano, Radio DJ au VJ wa German ku-play ngoma ya Davido au hata Davido ft Chris Brown unless for special charts lakini ni rahisi sana ku-play ngoma ya Chris Brown ft Davido kwa sababu, hapa atakuwa ana-play ngoma ya Brown and eventually kutoa exposure kwa Davido.

Hicho ndicho kilitokea kwa WizKid. Ile ile One Dance ingekuwa ni WizKid ft Drake mapokeo yake yangekuwa tofauti na mapokeo ya Drake ft WizKid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…