Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Ukisikiliza hiyo video hajasema kwamba ni yake. Hiyo ndege itakuwa ya kukodi. Kumiliki ndege kubwa kama Boeing au Airbus is not a joke, mabilionea wachache kama Donald Trump, Prince Waleed al Talal na waanzilishi wa kampuni ya Google ndio wanamiliki hiyo midege mikubwa. Wengi huwa wanamiliki ndege ndogo kama Gulfstream au Bombardier. Kwa wasanii wa muziki, Drake peke yake ana hilo dege.Angalieni hii video.
Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki?
Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake!
Drake mwenyewe siamini kama lile dude ni lake, hawa wasanii wana smoking mirrors sana. Unakuta wanaingia mkataba na kampuni yenye ndege ya mizigo halafu inakuwa inapiga mishe zake wao wanaichora tu kwa nje, alafu wananunua masaa ya safari za kujionesha tu.
Hii ndege hata $mabillionea inawasumbua.
View attachment 2395995
Yes, probablyKwa jinsi anavyoinuka na kukaa kila baada ya dk2 ni kama ametumika kuitangaza hiyo ndege
FactDrake Mwenyewe yule ndege kamkodisha
Kasema anataka kununua....drake mwenyewe anakodi halafu anadanganya kanunuaUkisikiliza hiyo video hajasema kwamba ni yake. Hiyo ndege itakuwa ya kukodi. Kumiliki ndege kubwa kama Boeing au Airbus is not a joke, mabilionea wachache kama Donald Trump, Prince Waleed al Talal na waanzilishi wa kampuni ya Google ndio wanamiliki hiyo midege mikubwa. Wengi huwa wanamiliki ndege ndogo kama Gulfstream au Bombardier. Kwa wasanii wa muziki, Drake peke yake ana hilo dege.
One hell of a birdSi mchezo ilo dude
Hapana mzee...Hata kipato cha Jayz ni ngumu kumiliki hilo dude...hilo dude ni pocket breaker, even for billionairesKwa kipato chake anaweza kununua huo mzigo.
🤣🤣afu kwann hawanunui pensi zinazowatosha?Huyo jamaa akili zimeamia tumboni
Kwa jinsi anavyoinuka na kukaa kila baada ya dk2 ni kama ametumika kuitangaza hiyo ndege
Kwani wewe he/she umeelewajeMtamkie mwenzio mema ili Mwenye Enzi Mungu akuinue na wewe kwa wakati wako!
Ebo [emoji35]
Hapana mzee...Hata kipato cha Jayz ni ngumu kumiliki hilo dude...hilo dude ni pocket breaker, even for billionaires
Khalid hapa kwanza tumtoe hana hela, hata jigga mwenye 1Billion kumbuka zote sio liquid, nyingi zipo kwenye assets and stocks..Si kweli ,DJ khaled hawezi shindwa kununua hilo Boeing achilia mbali Jigga...Hao watu wana mitonyo sana ,usd 100m hadi 300 kwao ni vitu vidogo.
DJ Khaled hana hiyo hela.Si kweli ,DJ khaled hawezi shindwa kununua hilo Boeing achilia mbali Jigga...Hao watu wana mitonyo sana ,usd 100m hadi 300 kwao ni vitu vidogo.