jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
"We the best music"
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
David Gueta noma sanaaaa.... Hey mama ft NickWapo akina David Guetta, Dj Snake, Martin Garrix, Calvis Harris, Kygo wanafanya the same, ila hawa wamebase kwenye pop...
Huwa nataman bongo kuwe na kitu kama hiki
Darasa We jamaa mi leilão, Yaan hajawahi kuzisikia halali unazipendaSijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
Haha dj choka wale wasanii alokuwa anawatumia ndo walimwangusha.We the best. Huyu ni producer buda.
DJ choka kuna kipindi alijaribu kufanya kama jamaa sijui aliishia wapi. Alikuwa anawachukua Mexicana na Tamaduni wachache na n.k wanatengeneza track.
Tracks zingine kwa DJ k.
Nas Album done
How many times
No new friends
Welcome to my Hood
Never surrender
Holla at me n.k
Hujawahi kuzisikia then unazikubali sana khaa we jamaa hatariSijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
Ilikuwa ni kwa njia ya ndoto Linex aliota amepigiwa haikuwa dhahiridj khaled ni mjanja mjanja...
eti alimpigia simu LINEX.... sanaa ya usanii
sasa unazikubali vp?Sijawahi kusikia nyimbo zake ila nazikubali sana
Titanium,ft sia furler!David Gueta noma sanaaaa.... Hey mama ft Nick