DJ khaled ni producer au songwriter?

Wapo akina David Guetta, Dj Snake, Martin Garrix, Calvis Harris, Kygo wanafanya the same, ila hawa wamebase kwenye pop...

Huwa nataman bongo kuwe na kitu kama hiki
David Gueta noma sanaaaa.... Hey mama ft Nick
 
Nyie Jamaa Hacheni kumjaza Ujiga Dj Khalid. Unasema Huyu jamaa ni noma sana. Utafikiri hizi Nyimbo anaziimba yeye.

Yeye ni mzuri wa kutengeneza Good combinations tu. Anajua Kuchagua wasanii.
 
Jamaa ni Producer,Radio Personality,Dj,Rapper na Record label executive.....ngoma nnazozikubali tangu nimfahamu ni Fed Up,Hold Yu Down,I got the keys,All I do is win,Gold slugs,They dont luv you no more,Suffering from succes,Welcome to my hood,I wish you would,no new friends,Take it to the head"Wild thought,You Mine,do you mind
Taking Over,Feel like Pac/Feel like Big.....Jamaa alifurahi na kushukuru sana aliposainiwa chini ya Jay Z katika lebo ya ROC Nation....
 
Haha dj choka wale wasanii alokuwa anawatumia ndo walimwangusha.

Halafu bongo hip-hop haipewi nafasi nzuri kivile.

Badae kuna wakati alihama akaenda jaribu na undergrounds wa dodoma ..wanajiita d.d.c, kidogo wali kiki ila ndo sjui saiv yuko wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Producer mwenye hela ndio maana anawakusanya vizuri.


Ananikosha sana ndani huwa na anavimisemo fulani hivi
 
dj khaled,nas & john legend - Victory, hii kazi ya kitambo lakini nailewa sana nas anashuka verse moja ya kibabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…