DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

mhhh huyu atakuwa kawekwa tu pale
 
sio ya kwake yeye ni mshika pembe mkamuaji yupo
 
Kaka siyo kazi rahisi, jaribu wewe u need to be a MAN to accomplish dat
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Hahahahah! Humu JF watu wanathink big ase.. Hata kama ulikula gundi itaachia tu, duh
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Mbowe amewahi kuwa Dj wapi ina maana kumiliki ukumbi wa disco unakuwa Dj tumia hicho kichwa chako kuwaza kijana.
 
mi nashangaa tanzania peke yake tuna Rais mtumbua majipu!
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tabu sana
 
Back
Top Bottom