DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

Na yule aliyekuwa anamiliki ili bilibi mbona hamumsemi,au ndio Yale ya kunya akinya bata kaharisha,wengine wakinya?,huyo Mbowe hata kuiwasha console hawezi.
 
Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
Hata m najiulizaga sana. Na jinsi wanavyobadilishana wafanyakazi na Mawingu fm mpaka nahic labda ni Radio yao nn maana wale jamaa ni wazee wa fursa. Ruge
 
Back
Top Bottom