Hapo mimi huwa napenda unitege shemeji....unanitege shemejiii....yaah Majizzo hunipa burudani sana!Hongera sana kwake Majay. Hatimaye na mimi uwa nasikiliza hizi nyimbo haswa za Msaga Sumu... Jamani unanitega shemeji unanitega shemeji ni wimbo mzuri
MAJIZO KATOA AJIRA KWA VIJANA WENZIE PONGEZI ZAKE SANAHakika kabisa mimi ndio maana nimemshukuru Majizzo maana bila radio zake mimi nyimbo hizi ningesikia wapi!
Nimekuwa mshabiki wa nyimbo hizi!
Teh Teh vipi yamekukuta nini mchepuko? Ila jamaa ameleta mapinduzi!nakukubali sana kaka majizzo kwa ubunifu wako na uchakarikaji...kw amuda mchache niliobahatika kufahamiana na wewe umeniinspire sana tatizo lako ni moja tu ukishapata unachokitaka unampotezea kama humfahamu vile!!!
Ndio mkuu ..jamaa nilimpiga tafu sana ishu fulani lakini baadae hata simu hazipokelewi..ipo siku!!Teh Teh vipi yamekukuta nini mchepuko? Ila jamaa ameleta mapinduzi!
hahaha mkuu hapo ndio sitaki kulizungumza kwa yaliyonikutaMfate ofisini kwake!
Mkuu naishi karibu na Mombasa, ni vibaya kwenda kula taarab za amani?Hahaha kwa hiyo wewe mzee wa mombasa!
Zina ujumbe sana huwa natulia sana kuwa sikiliza...Kuna wimbo mmoja
"Mabishano na zogo kubwa katika basi lile, kondakta anadai nauli yake na mgambo anadai yeye ni chombo cha dola"
Mi huwa nazipenda hizi za mnanda na mchiriku hasa hawa wanaoitwa jagwa music huwa zina ujumbe flani hivi kama stories.