Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili, kama nilivyo mimi wenu mtiifu, hizo aina za muziki ni njia nzuri sana za kujifunzia hii lugha yetu.

Ndiyo maana mimi, tena kwa fahari kubwa sana, huwa najivunia upenzi wangu wa aina hiyo ya muziki zikiwemo Taarab asilia, Taarab ya kileo, pamoja na chakacha.

Nimejifunza mengi mno yahusuyo lugha ya Kiswahili na lahaja zake kupitia hizo aina za muziki.
Umesahau jina moja ................MNANDA....................
 
Ukiandika kwamba huyu DJ ni muasisi wa muziki wa mnanda redioni, unakuwa umempa hadhi kwamba yeye ndiye aliyeanzisha kupiga muziki huu redioni, kitu ambacho si kweli.

Hata Redio Tumaini washapiga mnanda miaka ya tisini.

Labda haukukubalika tu.
 
Back
Top Bottom