Hahah siku moja jitoe tu kwa kweli, utaenjoy na roho yako
Hahaha kuna siku na mimi niliulizwa nikashangaa, but sijawahi kuulizwa tenaJF bana, eti wanauliza "Are you sure you want to like this post?"
Hahaha kuna siku na mimi niliulizwa nikashangaa, but sijawahi kuulizwa tena
Ndio tabia ya milionea...hata ww ukitajirika utakuwa hivyo. so usimnyooshee kidole.nakukubali sana kaka majizzo kwa ubunifu wako na uchakarikaji...kw amuda mchache niliobahatika kufahamiana na wewe umeniinspire sana tatizo lako ni moja tu ukishapata unachokitaka unampotezea kama humfahamu vile!!!
PoyeeeeeMimi hii ni mara ya pili naulizwa mimi.
Daah mnaenjoy jamani, live na le akili kubwazz. Benny atakuja sasa hiviAsante douta, nipo hapa namsubiria Benny ameniahidi kunitafutia Complimentary ya Breakfast Double Tree weekend hii kwa Le Mutuz Akili Kubwa, the King of All Social Networks in Bongo toka juzi na weekend ndo inafika.
Naona kapotea sasa.
Hahaha acha roho mbaya khaaYaani ananisubirisha kinoma, sitoki hapa mpaka Complimentary niione, na asipokuja mimi tena najitoa kwenye kumtetea kwa Baba Kumbena Kaboom.
Hahaha acha roho mbaya khaa
Acha hizoNiache roho mbaya gani, hizo ndo tips ananibembelezea ili nimpigie debe. Sasa akishindwa hiyo Complimentary na mimi namtosa.
Binafs ni mdau wa SINGELI,hasa ile mida ya GENGEView attachment 353220View attachment 353221View attachment 353222
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo imewekwa!
ilikuwa ni vigumu na hakuna uthubutu wa miziki ya mnanda ,visingeli na mchiriku kusikia ukipigwa radioni na sio kwamba hauna mashabiki bali una mashabiki wengi sana sema radio muda mwingine hulazimisha walaji kula hata wasicho kitaka!
Dj Majizzo baada ya kuanzisha kutuo cha E-FM imekuwa kama mkombozi wa miziki yetu ya asili na wamekuwa wakiupa muda wa kutosha kuupromote kiasi kwamba hata walio kuwa hawajui uzuri wake sasa wanaelewa!
Mimi sikuwa mshabiki wa miziki wa namna hii lakini sasa nimekuwa kama teja maana kwakweli nyimbo hizi kuna zenye jumbe nzuri sana kiasi kwamba ukisikiliza una hamasika hakika!
Kupitia DJ majizzo (E-FM) leo hii sasa nyimbo za mnanda,mchiriku na singeli zimeanza kusikika kwenye radio nyingine na wasanii hao wanapata showa kitu ambacho hakikutegemewa!
Leo hii ukisikiliza East africa radio utasikia wakipiga nyimbo hizi na hata Clouds na kwenye matamasha tunaona wasanii wa minanda,mchiriku na visingeli wanapewa show tofauti za zamani wale wa bongo fleva ndio walikuwa wanakula hela peke yao!
Ni wazi kabisa Wasanii wa minanda ,mchiriku na visingeli wanapaswa kumshukuru Majizzo kwani amechangia sana kwenye mafanikio yao na mapinduzi yao!
Mimi nimshukuru tuu Majizzo kwa kuwasaidia vijana hawa na kuupa thamani mziki wao!
Karibuni Wana jamvi!
Washkaji karibuniiiNimemkumbuka Marehemu Omary Omary na Juma Mpogo,
Omary aliimba nyimbo ya kumkumbuka rafiki yake aliyepata ajili pale Mataa ya Buguruni aligongwa na semi lilikuwa likitoka bandarini...Moja nyimbo za mchiriku niliwahi kuipenda kupita maelezo...RIP Omary Omary
Ndio huo huoWashkaji karibuniii
Karibuni maskaniii
Na wala msione kimyaa
Saidi darban hamumuoni
Said darban amefariki
Kwa ajali ya gariii
Ambayo imetokea
Buguruniii
Said darban kaacha majonzi
Hata Kwa mzazi mwenzie
Pili mama Ali anabaki analia
Oooooooh
Ndio wimbo huu ua nimechanganya?
Karibu mkuuuAhsanteeeeeeeeeeeee