Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuu na ustaarabu maake ma MC wasio na stara watakuumbua,Amina sana
Sema Dah hiyo nyimbo imekaa kinafiki sana 😅hilo Goma lilikuwa moto miaka ya 2010-2013 hapa sio poa TBC kpnd hicho kuna vipindi vya dance, taarabu, kwaya, bongo fleva Yan miziki yote bam bamHomeboy sijajua kashikishwa Mke au ndio Ndoa za mkeka Mwamba katulia kama sio yeye
View attachment 3234408
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mnawapa Milioni mbili zenu za kazi ya masaa matatu.
Hivyo wanafanya manjonjo ili muone hela yenu imeliwa kihalali