Dj na mwanamziki wa EDM AVICII afariki

Dj na mwanamziki wa EDM AVICII afariki

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Dj na legendary wa mziki aina ya EDM Electronic Dance Music AVICII kutoka Sweden amekutwa amefariki dunia hii leo uko Oman.

Mnamo mwaka 2016 AVICII alitangaza kuachana na kufanya matamasha uku akikukubwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo na matumizi ya kupita kiasi ya madawa ya kulevya.

AVICII atakumbukwa kwa nyimbo zake matamata km Wake me up, Hey Brother (huu ulikuja kutumika world wide na coca cola kwny matangazo yao), Levels, Broken Arrow Addicted to you, na nyiginezo

.

Hiyo wake me Up weka mbali kabisa ni wimbo hatari sana ugonjwa wa ukiwa na kukata tamaa umekuwa kwa kasi sana hasa ulaya kutokana na maisha ya upweke wanayoishi watu wa huko na hapo ndio tunapoipenda africa pamoja na umaskini lakini kuna social life inayowafanya watu wafurahi sehem ya wimbo wake anasema "i think they dont like us"hii ni hatua ya kwanza kuelekea msongo wa mawazo
 
Utatusaidia bundle Mkuu na hizo ma vidioz..!??
 
  • Thanks
Reactions: sho
What is Electronic Dance Music !?

What was this buddy's gender anyway!??
 
  • Thanks
Reactions: sho
What is Electronic Dance Music !?

What was this buddy's gender anyway!??
Gender Male

EDM is a broad range of percussive electronic music genres using a "repetitive beat" and "synthesized backing tracks" made largely to be danced to at nightclubs ,
raves, and festivals . EDM is generally produced for playback by disc jockeys (DJs) who create seamless selections of tracks, called a mix, by segueing from one recording to another using a DJ mixer .

Mfano wa wasanii maarufu wanaofanya EDM ni David Quetta, Calvin Harris, The Chainsmokers, Major lazier, Daft punk , Swedish house of mafia
 
Daah! Aisee apumzike kwa amani huko alikoenda. Waiting for love and wake me up hizi nyimbo nazikubali sana.
 
  • Thanks
Reactions: sho
Dah!Nilikuwa naskiza dude lake la Level.
 
  • Thanks
Reactions: sho
Oh men Avicii[emoji24]
I liked his music, he is among artiste nlokua nawakubali

Life is a journey for everyone and love is the prize, so wake me up!

Oh aisee chuma hiki
 
So wake me up when it's all over
When I'm wiser and I'm older
All this time I was finding myself, and I
Didn't know I was lost
 
Gender Male

EDM is a broad range of percussive electronic music genres using a "repetitive beat" and "synthesized backing tracks" made largely to be danced to at nightclubs ,
raves, and festivals . EDM is generally produced for playback by disc jockeys (DJs) who create seamless selections of tracks, called a mix, by segueing from one recording to another using a DJ mixer .

Mfano wa wasanii maarufu wanaofanya EDM ni David Quetta, Calvin Harris, The Chainsmokers, Major lazier, Daft punk , Swedish house of mafia
Okaay....

Hao Swedish House Mafia nawaelewa sana.
 
Wamezaliwa tarehe moja,mwaka mmoja na Masogange na wamekufa siku moja
 
Kiukweli nyimbo za huyu jamaa zimeniongezea kitu katika maisha yangu. STORIES ni album bora ya muda wote tangu nianze kusikiliza music.
 
Pumzika kwa amani. Umeacha pengo kubwa kwenye mziki wa Electronic.
 
Back
Top Bottom