TANZIA DJ Ommy afariki dunia

RIP legends....
Tuli enjoy burudani ya mziki kupitia yeye..
How old was he?
 
Dooh Apumzike kwa amani, Nje ya mada hivi hii ya kutumia Jina moja kwenye tasnia moja huwa naona haiko sawa,We have to be unique,, DJ D-Ommy, kuna DJ Ommy Crazy pia kuna huyu mzee wangu DJ Ommy (R.I.P),,Bora ata wengekua kwenye tasnia tofauti,,Kwangu mimi haiko sawa.
 
Ni kweli, ni kwasababu jina kama la Omari ni common kwahiyo wanaweza kuwepo wengi. Ingawa kwa enzi zake wakati yuko redioni, DJ Ommy naweza sema alikuwa peke yake tu kwenye udj mwenye jina hilo.
 
Dj Ommy amewahi kuwika miaka ya 2000 mwanzoni kabisa na kipindi cha Dj Show cha Radio One Stereo.
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi.View attachment 1674654
 
Hivi ni huyu wa kikosi cha ‘kwa fujo DJs’
 
daaah r i p dj ommy nakumbukaga alikua na jigle moja amabayo papi kocha ameimba ilikua balaa .
 
Dah! Mwana sana jamaa ulikua humkosi maisha club ile ya masaki enzi zile kwa wale wazee wa bunyero bunyero.. nadhali alikua pale kama manager... tangulia kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…