Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona picha yake anaonekana ana 50s. Hii ni generation ya madj kama kina John Dilinga ambaye age yake ni karibu na 50.RIP legends....
Tuli enjoy burudani ya mziki kupitia yeye..
How old was he?
So sad...Nimeona picha yake anaonekana ana 50s. Hii ni generation ya madj kama kina John Dilinga ambaye age yake ni karibu na 50.
Ni kweli, ni kwasababu jina kama la Omari ni common kwahiyo wanaweza kuwepo wengi. Ingawa kwa enzi zake wakati yuko redioni, DJ Ommy naweza sema alikuwa peke yake tu kwenye udj mwenye jina hilo.Dooh Apumzike kwa amani, Nje ya mada hivi hii ya kutumia Jina moja kwenye tasnia moja huwa naona haiko sawa,We have to be unique,, DJ D-Ommy, kuna DJ Ommy Crazy pia kuna huyu mzee wangu DJ Ommy (R.I.P),,Bora ata wengekua kwenye tasnia tofauti,,Kwangu mimi haiko sawa.
Hivi ni huyu wa kikosi cha ‘kwa fujo DJs’
Dj d ommy ni wa CLOUDSMEDIA ila dj ommy aliyefariki ni wa IPP MEDIADj ommy
Dj ommy crayz
Dj d ommy
Dj ommy guy
Dj omary
Wanatuchanganya sana hawa
Nakumbuka sauti ya ‘Dj Ommy, kwa fujo Djs’ maskiniNdiye Mkuu!
Dah! Mwana sana jamaa ulikua humkosi maisha club ile ya masaki enzi zile kwa wale wazee wa bunyero bunyero.. nadhali alikua pale kama manager... tangulia kamandaSikumbuki vizuri aliondoka radio one kwenye miaka gani lakini kwa miaka mingi nilikuwa najiuliza alienda wapi baada ya kutoka radio one? Yeye, DJ JD na DJ Fast Eddy ndio madj wa mwanzoni mwanzoni radio one. Kuna kipindi pia alikuwa ndani ya "kwafujo DJs" ya kina Abubakary Sadiki na Majay Majizo.