Dj Ommy crazy ahamia Efm

Dj Ommy crazy ahamia Efm

Mengi linapokuja suala la kitaifa huwa anatoa mahela mengi lets 100mio..ila kwa wafanyakazi hajui kutoa hela anawalipa hela kidogo...ndio maaana wabunifu wengi huwa wanamkimbia

Ipp ingekuwa inalipa hela nyingi kama ingekuwa mishahara inatangazwa publically...maana mengi anapenda show off
 
Employees Retainment Policy.

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Clubnext door zinauhusiano na EATV? So ni ya mengi au

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Aya sasa zamu ya wenye six packs......aya wenye vitambi...aya wenye.....
Wadau wa nxt do' 2takukumbuka daima kama haya ni ya kweli
 
Back
Top Bottom