Dj Ommy crezy makelele ya nini?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga makelele...anakera sana....mm kwangu ni kero sijui kwa vijana wa kisasa wanaonaje...
 
dj anamakelele ananikera hata mimi huwa nachuna nikijua kuna watu labda wanayapenda
 
Analijua hilo ndio maana anajiita Ommy crazy yaani chizi alierogwa tena
 
Mkuu nature ya kipindi na watu wanaohojiwa pale plus cku yenyewe inakuwa ni ijumaa mixer gambe unalolionaga kwenye zile counter zao deni utakubaliana na mm kuwa Ommy crazy ndo the right dj kulingana na sehemu husika! Walikuwepo akina dj mafuvu kwa hicho hicho kipindi bt kwa hiyu jamaa wanasubili; Mwenyewe Anakuambia Haina kutilitili imetaiti imekaza kamba haina ushamba oyaeee!Vitu haviendagi ngeeee, vinaendaga ngangangaaaa
 
dj anamakelele ananikera hata mimi huwa nachuna nikijua kuna watu labda wanayapenda
Anakiharibu kipindi..bora alivyokuwa yule dj wa kike...sijui anaitwa nani vile...
 
Makelele yamezidi..basi azime mziki apige makelele weeee..then akimaliza aache watu wasikilize mziki..na siyo kuchanganya vyote pamoja
 
A word crazy expresses everything about ommy muwache
 
Nafikiri huu ni mtindo wa eatv hata alivyokuwepo mafuvu ila inakera sana
 
DJ Sinyorita!

Ruge kamchukua yule, anapiga kazi Clouds FM.
Do..mimi nilikuaga nakapenda sana haka kabinti..hasa mauno alokua anayakata kwenye kipindi..najikuta tu kipindi kimeisha ghafla...
 

mbona sioni kero yeyote kawaida tu ila matatizo watu wastaarabu kuangalia vipindi hv utaboreka tu
Mafuvu ndio dj bora sijui siku hizi yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…