Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makelele yamezidi..basi azime mziki apige makelele weeee..then akimaliza aache watu wasikilize mziki..na siyo kuchanganya vyote pamojaMkuu nature ya kipindi na watu wanaohojiwa pale plus cku yenyewe inakuwa ni ijumaa mixer gambe unalolionaga kwenye zile counter zao deni utakubaliana na mm kuwa Ommy crazy ndo the right dj kulingana na sehemu husika! Walikuwepo akina dj mafuvu kwa hicho hicho kipindi bt kwa hiyu jamaa wanasubili; Mwenyewe Anakuambia Haina kutilitili imetaiti imekaza kamba haina ushamba oyaeee!Vitu haviendagi ngeeee, vinaendaga ngangangaaaa
A word crazy expresses everything about ommy muwacheView attachment 392504 Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga makelele...anakera sana....mm kwangu ni kero sijui kwa vijana wa kisasa wanaonaje...
anaitwa Dj Soñorita yupo clouds sikuhizAnakiharibu kipindi..bora alivyokuwa yule dj wa kike...sijui anaitwa nani vile...
Mafuvu ndio dj bora sijui siku hizi yuko wapi?View attachment 392504 Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga makelele...anakera sana....mm kwangu ni kero sijui kwa vijana wa kisasa wanaonaje...
Mafuvu ndio dj bora sijui siku hizi yuko wapi?
Anakiharibu kipindi..bora alivyokuwa yule dj wa kike...sijui anaitwa nani vile...
Do..mimi nilikuaga nakapenda sana haka kabinti..hasa mauno alokua anayakata kwenye kipindi..najikuta tu kipindi kimeisha ghafla...
Mkuu nature ya kipindi na watu wanaohojiwa pale plus cku yenyewe inakuwa ni ijumaa mixer gambe unalolionaga kwenye zile counter zao deni utakubaliana na mm kuwa Ommy crazy ndo the right dj kulingana na sehemu husika! Walikuwepo akina dj mafuvu kwa hicho hicho kipindi bt kwa hiyu jamaa wanasubili; Mwenyewe Anakuambia Haina kutilitili imetaiti imekaza kamba haina ushamba oyaeee!Vitu haviendagi ngeeee, vinaendaga ngangangaaaa
Mafuvu ndio dj bora sijui siku hizi yuko wapi?