Dj Ommy crezy makelele ya nini?

Dj Ommy crezy makelele ya nini?

Ndiyo maana amejiita crazy anajijua kuwa wakati mwingine anakuwa maji kujaa,utaksosaje kelele
 
View attachment 392504 Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga makelele...anakera sana....mm kwangu ni kero sijui kwa vijana wa kisasa wanaonaje...
mbona mimi naona kawaida tu ndo matatizo watu wastaarabu kufatilia vipind hiv utaboreka tu ila sioni haja watu kuboreka na hii mizuka yakitofauti tusifanane kuna yule mwingine anajiita dj sama anapiga nyimbo mbaya mpaka unauliza huyu jamaa vp
 
Hiv ndo huyo DJ wa milad ayo wa clouds FM nao wanae DJ ommy
 
Back
Top Bottom