Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one.
Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa hospital ya mwanyamala
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe
amen
src
tbc