DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

nakumbuka nilikuwa narekodi radio session yake kwenye tapes wakati huo ndio form one nadhani! nilikuwa nashangaa inagongwa beat ya wimbo mmoja lakini mashairi ya wimbo mwingine, yaani ni mixing za hatari! sijui kwa nini ma-dj wa leo hawafanya haya ma-skills! Ndio hivyo tena amekamilisha safari yake hapa duniani! Apumzike Kwa Amani!
JAYJAY Ma DJ wa sasa wengi hawana utaalamu wa kupandisha ngoma the way wakina Rankeem walikuwa wakifanya,kama alivyosema MTAZAMO enzi hizo unaenda Discotheque sio kwasababbu ya kucheza muziki tu Kinachokupeleka pale ni mahanjam ya DJ ndio yanakufanya uufuate mziki ulipo,:rip: Rankeem.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom