DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one.

Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa hospital ya mwanyamala
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe
amen

src
tbc
 
Pumzika kwa amani DJ Rankim

Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa hospital ya mwanyamala
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe
amen

src
tbc
 
Noo waaay Sista!!!! Mzee ametutoka?
 
Dah...
RIP Rankim
back in the days, huyu ndiye alikuwa DJ pekee mwenye 'taste' nzuri ya selection..
 
duh..... mwenye taarifa zaidi hatujulishe zaidi
RIP- DJ Rankim
 
Innalilah rajuun
ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu
alikuwa akikimbizwa hospital ya mwanyamala
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe
amen

src
tbc
 
RIP Rankeem alikuwa dj mzuri wa miziki ya bolingo,alinitangulia madalasa 2 pale mapambano pr sch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…