DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

So sad,msiba upo wapi?NAkumbuka tuliishi Jirani,mwenge national housing karibu na mapambano p.school.Nilisoma na marehemu dada yake Dr. Irene Malecela pale Mzizima sec.school.Namkumbuka akiwa anasoma mapambano alipenda sana kuigiza utangazaji wa marehemu uncle J enzi za RTD kipindi cha Phillips ndio yenyewe na National.RIP Rama Nyamka.
 
simjui huyu jamaa anyway REST IN PEACE MAALIM
 
Enzi za diamond sound, dj rankim ramadhan ndani ya nyumba hiyo ilikuwa 1997 nikiishi sinza kwa remmy. Rip rankim
 
mmmm tuwaachie watu wakumbwa maana ss tuliozaliwa kizazi hiki hatumfahamu hata kwa sauti
 
R. I. P. Rankeem Ramadhan Nyamka! !
 
R.I.P Dj Rankeem. Poleni sana wafiwa.
 
Enzi hizo tulikuwa tunakwenda disko kwasababu ya DJ na sio kwenda tu kucheza bila kujua nani anapiga.Huyu jamaa alikuwa anapiga Rhumba na miondoko mingine ya kiafrika hatari tupu!!!

Sure..mimi mpaka sasa hivi nikienda sehemu naona wazimu mtupu.. fikiria enzi za poolside.sijui kama itawahi kutokea tulifaidi sana..rest in peace dj rankeem
 

Nilipita mitaa ya sinza kwa remmy..nikasikia msiba unafanyika kwa kina salehe(saigon)nadhani amezikwa makaburi ya sinza kati ya mchana au jioni..
 
Sure..mimi mpaka sasa hivi nikienda sehemu naona wazimu mtupu.. fikiria enzi za poolside.sijui kama itawahi kutokea tulifaidi sana..rest in peace dj rankeem

Machine kurahisishwa sana na pia upatikanaji wa nyimbo kirahisi mno umeua cretivity kwa DJs wa siku hizi maana ana uhakika hata akikurupushwa saa ngapi anaokota nyimbo anapiga lakini zamani DJs walikuwa wanajipanga kabisa afanye nini club na playlist inapangwa kwelikweli.

Zamani huwezi kukurupuka tu ukapewa machapati (turntable) ukapiga ngoma tu.Urahisi wa mambo huleta kutofikiri sana maana mambo ni rahisi.
 
One of the best DJs kutoka Bongo na my favourite, Mungu Amlaze Pema Peponi.
 
nakumbuka nilikuwa narekodi radio session yake kwenye tapes wakati huo ndio form one nadhani! nilikuwa nashangaa inagongwa beat ya wimbo mmoja lakini mashairi ya wimbo mwingine, yaani ni mixing za hatari! sijui kwa nini ma-dj wa leo hawafanya haya ma-skills! Ndio hivyo tena amekamilisha safari yake hapa duniani! Apumzike Kwa Amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…