Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Au yupo Ukonga ya Gongo la Mboto.Mtu anaweza kwambia nilikua UK baasi utadhan ni mamtoni kumbe Ukerewe tu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au yupo Ukonga ya Gongo la Mboto.Mtu anaweza kwambia nilikua UK baasi utadhan ni mamtoni kumbe Ukerewe tu hapo
Utawaweza hao mi kama ni mwanaume huwa namtoa kabisa kwenye kundi la wanaume.
Hahaaa. Ila interview zilidoda jamaani lol.
Nilijua nimenote mwenyewe kumbe tupo wengi,Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaweza kwambia nilikua UK baasi utadhan ni mamtoni kumbe Ukerewe tu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaweza kwambia nilikua UK baasi utadhan ni mamtoni kumbe Ukerewe tu hapo
Hahaaa. Kabisa my.Zilidoda sana. Hakunaga harusi bila vigelegele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au yupo Ukonga ya Gongo la Mboto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmekula maharagwe ya wapi leoAu yupo Ukonga ya Gongo la Mboto.
Hawaeleweki wanataka nini.Nilijua nimenote mwenyewe kumbe tupo wengi,
Kweli nimeamini watu ni wengi binadam ni wachache.
Ooh interview gani imepooza mara inabore jamani sijui wanatakaje kwakweli
Hahaaa. Ndio maana nikasema hatujapiga soga siku nyingi dada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmekula maharagwe ya wapi leo
Yani twinnie umuhimu wa Muosha naniliu nimeuona ndani ya wiki hii..kulipoa sanaAkaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.
Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.
I missed you baby...alotI was abroad guys so very soon,we will resume our chitchat interviews
Be blessed!
Kweli jamaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Ndio maana nikasema hatujapiga soga siku nyingi dada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa pacha. Yaani na sisi alitufanya tusambaratike hata muda wa kupiga soga tusiupate.Yani twinnie umuhimu wa Muosha naniliu nimeuona ndani ya wiki hii..kulipoa sana
KabisaKabisa pacha. Yaani na sisi alitufanya tusambaratike hata muda wa kupiga soga tusiupate.
Umeshasahau pacha. Baba alishakataa ujue. [emoji85] [emoji85]Kabisa
Interview inayokuja si ni yako ee?😀
Kweli kabisaHawaeleweki wanataka nini.
Sidhani hata miaka 25 kama kamefikisha.