Dj Sinyorita achafua hali ya hewa

Dj Sinyorita achafua hali ya hewa

Kwa nyakati tulizopo siwezi poteza muda kushangaa haya ya dj huyu, nguvu ya social media hah hah huu ni wakati wake bhana, muacheni afanye yake!
 
Wabongo bana ....kwani mgongo huo kuna tatzo..tatzo mnapenda mtu aishi kama mnavotaka nyie...huo ni wehu ase....kila mtu analife yake...pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom