Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

Mie ananibamba Fatima almas nyangasa, najutia upungufu Wa shekel. Black is beautiful
 
Usilojua ni sawa na usiku wa Giza, hata km lkn mtoa mada alikuwa na genye tu huyu havutii sio mrembo wala mzuri na hapo ana makeup vuta picha akiwa ametoka usingizini amevua na nywele zake za kukodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pata picha na ww ukiwa umetoka usingizini

Uyo demu nyoko anatisha sana
 
Huko insta huuzi sura nini ukaamua kuja kujipa promo na humu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Nnahisi mleta mada atakuwa wa mikoani... Huyo mdada wakiambiwa zisimame pini za maana pale Dar hata Top 100 haingii... Huyo mdada wa kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wana shida sana kama mitoto unaitunza wee afu inakuja kuwa hivi ilivyo mmmmmh
 
Back
Top Bottom