TANZIA DJ Steve B afariki dunia

Dj Steve B aliyejipatia umaarufu miaka ya mwanzoni mwa 2000 amefariki dunia leo. Dj Steve B maarufu pia kama Dj Skills alikuwa maarufu kiasi cha kutajwa sana katika nyimbo nyingi za bongofleva za miaka ya 2000.

Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita, pumzika kwa amani Steve B
 
Sahv mtungi nmepunguza kwa kiasi kikubwa sana....na naelekea kuacha kabisa

Ova
 
R.I.P My Brother , R.I.P my neighbourhood, R.I.P Steve

Dah napokeq haya kwa masikitiko ,nakumbuka enzi za Regent Party
 
Legend sana

Rest Easy.
 
Show ya figo endelea kuisikia tu hivi hivi kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako!!!

Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…