Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Steve kapambana sana na FigoShow ya figo endelea tu hivi hivi kusikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inagawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.