Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
naskia anapigaga club saiviLichaya uwezo mkubwa alonao, kwanini mafuvu hapati kituo cha kazi tukaskiliza zile vibe zake.. ama shida nn wakuu..
kwamba dea hafahamiki mpaka nimpigie promo??VP unampigia promo dea?
naskia anapigaga club saivi
ina maana kwamba mafuvu sio dj wa club??.Mara kadhaa nmemuona akifanya pale La Chaz.. ila mchz sio wa kufanya club kabisaa.. kuna kpnd clouds walimchukua fiesta, sasa sijui ikawaje wakamuachia tenaa.. mchz kuna sehem anakwama
Sio kwamba hataki Ila maslahi madogo kwenye radio stations kuliko anachoingiza kwenye clubs na pub...!Kwa hiyo ameamua kujiajiri yeye Kama yeye!.....Lichaya uwezo mkubwa alonao, kwanini mafuvu hapati kituo cha kazi tukaskiliza zile vibe zake.. ama shida nn wakuu..
anapigaga pande zipi hivi saivi..