Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huyu jamaa siku hizi naona hafanyi mixing Kali Kama zamani.
Yaani labda naona ufanisi wake umepungua. Muda mwingi planet bongo anakuwa dj dea ata kule fnl. Sijui kwanini.
Huyu summer Alishawahi kushinda mashindano ya udj kipindi kile 2009 kitu kama hicho.
Halafu summer beat matching inamshinda, ni mzuri kwenye live scratching..
Niseme ukweli kwa sasa east africa pale dj mkali ni dea. Tuu