Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ahaaa !!!!DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM.
RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam.
Umenikumbusha Soko MjingaBungeni kama sokoni
Bunge linataka kujaza majitu ya hovyo hovyo! Hizi siasa za kipumbavu ndizo zinatugharimu!DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM.
RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam.
Ahaaaa RJ muache akaokote MkuuBunge linataka kujaza majitu ya hovyo hovyo! Hizi siasa za kipumbavu ndizo zinatugharimu!
Huu ni mkakati wa CCM. Bunge likiwa na watu smart Rais atakuwa kwenye tensionBunge linataka kujaza majitu ya hovyo hovyo! Hizi siasa za kipumbavu ndizo zinatugharimu!
kachukue fomu mkuu kila mtu ana haki kuchukua fomu, baadae usimlaumu mtuHuu ni mkakati wa CCM. Bunge likiwa na watu smart Rais atakuwa kwenye tension
Kwa tume ipi?kachukue fomu mkuu kila mtu ana haki kuchukua fomu, baadae usimlaumu mtu
kwani kuchukua fomu inahitaji mpaka tume mkuu 😀Kwa tume ipi?
Ndiyo maana hawataki reforms ili kuruhusu ushindani wa haki! Uponzani ndiko kuna vichwa!Huu ni mkakati wa CCM. Bunge likiwa na watu smart Rais atakuwa kwenye tension
Amesomea nini hasa? Nimechoka kuangalia bunge la darasa la 7 B!Ahaaaa RJ muache akaokote Mkuu
Bungeni kama sokoni
Si ndio hapo!! Ccm kila upuuzi unawezekana.Kama Babu Tale kawa kwa nini yeye asiwe?