Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Kupitia kupata ubunge mazuzu kama Babu Tale msimu uliopita kumepelekea kufanya kila zwazwa aliebaki kuamini anaweza kuwa mbunge pia.
Kuna haja ubunge upewe thamani tena. Isiishie kwa kila anaejua kusoma na kuandika tu.
Tunajisahaulisha kuwa hawa watu ndio wanaenda kutunga na kusimamia sera za nchi nzima.