Huyo atakuwa school drop out , au darasa la Saba au form four failureAmesomea nini hasa? Nimechoka kuangalia bunge la darasa la 7 B!
Pale UkereweUmenikumbusha Soko Mjinga
Hahaha ha nimwcheka kweli******** siasa ya Tanzania
Kama walisoma ndio wametufikisha kwenye tilioni 107............sioni kosa lake..........hao vipanga ndio wa hovyo toka tanzania iumbwe ...........mijitu miprofesa midokta miphd lakini utadhani kama walikuja kama house girl au house boy hapa mjini..........yaani kuliko hao wasomi wako bora tuongozwe hata na kichaa mwenye jalala dogo..........Amesomea nini hasa? Nimechoka kuangalia bunge la darasa la 7 B!
Usiogope ni kujua kusoma na kuandika tu inatoshaBungeni kama sokoni
Wanasema msomi ukidharau siasa utaongozwa na mjingKupitia kupata ubunge mazuzu kama Babu Tale msimu uliopita kumepelekea kufanya kila zwazwa aliebaki kuamini anaweza kuwa mbunge pia.
Kuna haja ubunge upewe thamani tena. Isiishie kwa kila anaejua kusoma na kuandika tu.
Tunajisahaulisha kuwa hawa watu ndio wanaenda kutunga na kusimamia sera za nchi nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuchukua from ni bei gani nami nijitose,Sikuja Duniani kuwa maskini mimi[emoji2955]
Haizidi laki tanoKuchukua from ni bei gani nami nijitose,Sikuja Duniani kuwa maskini mimi🤨