Dj zero iq kapotelea wapi

Dj zero iq kapotelea wapi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Kuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito kamebakisha wawili NAKAKUMBUSHA TU hao wawili wasipopatikana hadi april lengo linafeli

Ni siku kadhaa sijakaona humu JF. Kuna anayejua kalipoenda, kasijekua kamedanchi kwa ngoma????

Zero IQ
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kadanchi ghafla, ila kuna siku kalifunguaga uzi kanadai single mama kamloga sijui nn, kanifungia ndani nalishwa vinono yaan sipati muda wa kuundika uzi naandika tu hardtalk fulani kisha napotea, naona single mama kambana haswa hata simu hashiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ma singo mama hawachelewi kuloweka hadi simu na laptop😀😀😀
 
Hahahaha hah am back

Back
Top Bottom